🔥 SPECIAL OFFER: Pata 50% DISCOUNT kwa malipo ya mwaka mzima leo! Chukua Sasa
🚀 New: PDF & Media Support Enabled

Automate Your
WooCommerce
via WhatsApp.

Tuma PDF Invoices, OTP, na Cart Recovery moja kwa moja kwa wateja wako nchini Tanzania. Haraka, Salama, na ya Kibunifu.

🚀 New: PDF & Media Support Enabled

Automate Your
WooCommerce
via WhatsApp.

Tuma PDF Invoices, Katalogi, na OTP moja kwa moja kwa wateja wako nchini Tanzania. Haraka, Salama, na ya Kibunifu.

WooCommerce Authorized Solution

Sio Text Tu,
Tuma PDF & Mafile
WhatsApp.

Badili mfumo wako wa mauzo. Tuma Invoices, Receipts, na Media mafile moja kwa moja kwenye WhatsApp ya mteja.

Trusted By: B2B PHP Million of Customers

WAP Store

Online

Today

INVOICE_#EP-2026.pdf

1.2 MB • PDF

Habari Kenedy! Oda yako imekamilika. Hapa kuna risiti yako rasmi ya PDF.

10:45 AM

✅ Status: Paid

Nimeipokea risiti! Huduma yenu ni ya haraka sana. 🙏

10:46 AM
Andika hapa...

Mbona Wap?

Kila kitu unachohitaji
Kwenye Plugin Moja.

Sio tu kutoa ujumbe, tunakupa uwezo wa kusimamia duka lako lote kiotomatiki kupitia WhatsApp.

PDF & Media Sending

Tuma kiotomatiki risiti za PDF (Invoices), maelekezo ya bidhaa (Docs), na picha za bidhaa pindi oda inapokamilika.

WhatsApp OTP Login

Linda duka lako dhidi ya bot na fake orders. Thibitisha namba za simu za wateja kupitia namba za siri (OTP) za WhatsApp.

Abandoned Cart

Wateja walioacha bidhaa kapuni wanapata ujumbe wa kuwakumbusha kukamilisha malipo, ukiambatana na namba za simu.

Real-time Tracking

Mteja anapata update ya kila hatua ya mzigo wake (Processing, Shipped, Delivered) papo hapo kupitia simu yake.

Robust API Support

Unganisha Wap na mfumo wowote wa nje kupitia RESTful API yetu yenye uwezo wa kutuma Media na Custom Hooks.

Multi-Agent System

Gawa majukumu kwa timu yako. Wafanyakazi tofauti wanaweza kujibu wateja kupitia dashibodi moja kuu ya Wap.

98%

Open Rate

45%

Recovery Rate

12x

ROI On Spend

2M+

Messages Sent

Gharama Zetu

Kila kitu unachohitaji,
kwa bei moja rahisi.

Tumeondoa vikwazo. Pata uwezo kamili wa WhatsApp Automation bila kulipia gharama za ziada.

Recommended for You

Starter Pack

"The Powerhouse Plan"

$5 /mwezi
  • PDF & Media Support (Invoices)
  • WhatsApp OTP Support
  • Abandoned Cart Recovery
  • 3 Dashboard Agents Support
  • Unlimited Text Messages
  • Order Status Notifications
CHAGUA HII SASA

Business

$10 /mwezi
  • Everything in Starter
  • 10 Dashboard Agents
  • Advanced Analytics
  • Priority Support
UPGRADE

Agency

$25 /mwezi
  • Custom Integration
  • Dedicated Server
  • Unlimited Agents
  • Full API Access
TALK TO US
Built for Devs

API Inayofanya Kila Kitu. Pia Media.

Unganisha duka lako na API yetu yenye nguvu. Tuma ujumbe, picha, PDF, na documents kupitia RESTful JSON endpoints.

Standard JSON Request/Response
Webhook Integration for Incoming Messages
High Speed Delivery with Queue System
SOMA API DOCS
POST /api/v1/send-document
// Tuma PDF ya Risiti kupitia API
{
    "to": "+255788XXXXXX",
    "type": "document",
    "url": "https://mysite.com/invoice_992.pdf",
    "filename": "INVOICE_ORDER_992.pdf",
    "caption": "Habari! Hii hapa ni risiti yako."
}
                        
Response: 200 OK
Instant Delivery

Inasemwa Nini Kuhusu Sisi?

"Tangu nianze kutumia Wap, mauzo yangu yameongezeka kwa 30%. Kutuma risiti moja kwa moja WhatsApp kunajenga uaminifu mkubwa kwa wateja wangu wa Tanzania."

KM

Kenedy Mlyuka

E-Phamarcy Founder

"Mfumo wao wa API ni rahisi sana kulinganisha na nyingine. Nimefanikiwa kuunganisha duka langu ndani ya dakika 15 tu. Media support ni bonge la feature!"

SA

Said Ahmed

TechLead - Kilolo Stakeholders

"Feature ya Abandoned Cart imetusaidia kurejesha takriban 60% ya wateja ambao walikuwa wanaondoka bila kununua. Hii plugin ni lazima uwe nayo!"

JM

James M.

Store Owner

Maswali ya Mara kwa Mara

Je, nitahitaji namba ya simu ya ziada?

Ndiyo, unahitaji namba ya WhatsApp ambayo itatumika kutuma ujumbe. Unaweza kutumia namba yako iliyopo au namba mpya kwa ajili ya biashara tu.

Je, kuna kikomo (limit) cha ujumbe?

Kwa vifurushi vyetu vyote, hatuna kikomo cha kutuma ujumbe wa maandishi. Tunakushauri tu kufuata miongozo ya WhatsApp ili namba yako isifungiwe.

Inasaidia PDF Invoices pekee?

Hapana. Inasupport mafile yote ya standard kama PDF, PNG, JPG, DOCX, na hata Excel kwa ajili ya kutuma mafile ya ripoti kwa mteja.

Tayari Kukuza
Duka Lako?

Jiunge na mamia ya wafanyabiashara nchini Tanzania wanaotumia Wap kubadilisha jinsi wanavyohudumia wateja wao.