Build Faster with
WAP API CORE.
Karibu kwenye nyaraka rasmi za WAP CORE. Huu ni mfumo uliotengenezwa mahususi kurahisisha mawasiliano ya biashara nchini Tanzania Na Nchi nyingine kupitia WhatsApp. Iwe unatumia Laravel, Flutter, au Python, unaweza kuanza kutuma ujumbe ndani ya dakika mbili.
High Speed
Latency ya chini ya 200ms kwa kila ujumbe unaotumwa duniani kote.
End-to-End
Ulinzi wa AES-256 kwa data zote zinazopita kwenye gateway yetu.
Multi-Lang
SDK kamili kwa ajili ya PHP, Node.js, Python, Java, na C#.
Authentication
Kila request lazima iwe na `x-api-key` kwenye header. Unaweza kupata API Key yako kwenye dashboard yako ya WAP.
Security Note: Usishiriki API key yako kwenye kodi za upande wa mteja (Client-side JS). Daima tumia upande wa server (Backend) kufanya requests.
Tuma Text Message
Chagua lugha yako unayopendelea hapa chini ili kuona jinsi ya ku-integrate API yetu kwenye mradi wako.
Tuma Media (PDF/Images)
API yetu inasupport kutuma mafaili kwa kutumia Direct URL. Hakikisha faili linaishia na extension husika (.jpg, .pdf, .mp4).
Webhooks Setup
Ili mfumo wako uweze kusoma meseji zinazoingia kutoka kwa wateja, unahitaji ku-set Webhook URL. Tutai-ping URL yako kila wakati meseji mpya inapofika.
- Inasupport HTTPS pekee kwa usalama.
- Response lazima iwe HTTP 200.
Configure URL
Weka URL yako kwenye dashboard chini ya 'Settings > Webhooks'
HTTP Error Codes
| Code | Description | Solution |
|---|---|---|
| 401 | Unauthorized | Check API Key |
| 403 | Instance Disconnected | Scan QR Code |
| 429 | Rate Limit Exceeded | Wait 60 Seconds |